top of page

Kuwa na Yesu Mwokozi,

  • Hymns
  • Nov 6, 2023
  • 1 min read

Yesu Mwokozi, kwa hakika, Hunipa furaha na amani;

Mrithi wa wokovu wake, Natakaswa kwa damu yake.


Habari hiyo wimbo wangu, Daima nitamsifu Yesu.

Habari hiyo wimbo wangu, Daima nitamsifu Yesu.


Nijitoapo nina raha, Na kwa imani namwona Bwana;

Aniletea malaika, Wananilinda, niiokoke.


Hali na mali anitwaa, Katika Yesu nabarikiwa;

Nikimgoja kwa subira, Wema wake unanitosha.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page