top of page

Kwa Kinywa Changu

Updated: Dec 23, 2023

  1. Kwa kinywa changu nitaziimba sifa zako ulimi wangu utanena siku zote

  2. Mikono yangu napeperusha juu hewani Nashangilia napigapiga hata makofi

  3. Miguu yangu narusharusha pande zote Naenda mbio nifike kule uliko nitubu

  4. Kwa macho yangu nitakuona Mungu wangu Kwa mawazo yangu nitakuwaza daima

  5. Kwa masikio yangu nitakusikiliza Uniitapo nitakuitika milele yote.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page