Kwa Mungu Baba
- Hymsco Library

- Oct 28, 2023
- 1 min read
1. Kwa Mungu Baba aliye juu, toa sadaka kwa Bwana wako, aliyekulinanda hata leo, toa Ndugu toa
Toa sadaka kwa Mungu wako, aliyetoa maisha yake, kutulinda tusipotee, toa vyote toa.
2. Toa sadaka ubarikiwe toa sadaka kwa Bwana wako, aliyekupa ulichonacho, toa baba toa.
3. Toa sadaka Kwa Mungu wako, toa kwa shangwe kwa kazi yake, Bwana apate kukuongeza, toa mama toa
4. Nanyi watoto msisahau, kilicho chenu kidogo pia, upendo wenu kwa Bwana Yesu, mpenda watoto

Comments