Kwa Nini Nisimpokee?
- Chaungwa
- Oct 30, 2023
- 1 min read
Updated: Dec 23, 2023
Kwa nini nisimpokee, Kwani nini nisimpokee Bwana x 2 amenialika kwa karamu yake yamapendano, kwa nini nisiitikie kwa nini nisimpokee Bwana.
Amenialika Mbinguni ni kweli ananiweka tayari.
Amejiweka katika maumbo ya mkate na divai.
Yeye ni Bwana na Mfalme wa vyote kwa nini nisimpokee.
Ni Mungu wa kweli ingawa hatumuoni tuwe na imani kweli.
Yeye ni chakula cha mbingu, na pia ni kinywaji cha mbingu.

Comments