Leo Masihi amezaliwa
- Hymsco Library

- Nov 1, 2023
- 1 min read
Leo Masihi amezaliwa, sote tuimbe nao Malaika Leo ndio siku yake ku-u, sote tuimbe nao Malaika
1. Tuliyemngojea tangu kale, leo amezaliwa.
2. Utabiri wa kale wa Isaya, Kristu amezaliwa.
3. Immanueli karibu ka-a nasi,Tuondoe dhambini.

Comments