top of page

Leo Tumepata Mfalme

Updated: Dec 29, 2023


Leo tumepata mfalme, Leo tumepata mfalme, ndiye mtoto Yesu x2 (Utukufu juu mbinguni, na amani duniani (kote) Kwa watu wenye mapenzi wenye mapenzi mema) x2

  1. Malaika kawambia, wachungaji kondeni, Amkeni upesi, twende Bethlehem

  2. Leo mji wa Daudi, kazaliwa mfalme, Jina lake Emanueli, Mungu pamoja nasi

  3. Malaika kawaambia, wale mamajusi, Kutoka mashariki, kazaliwa mfalme.

  4. Mtaona hiyo nyota, kutoka mashariki, Ndiyo itawaongoza, alipo mfalme.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page