Magnificant
- Anonymous
- Oct 31, 2023
- 1 min read
1. Moyo wangu wangu wamtukuza Bwana Mungu wangu. (Roho yafurahi kwa Mungu Mwokozi x2)
Unyonge wamtumishie ameutazama (Na vizazi vyote wataniita mwenye heri x2)
Roho yangu inashangilia x2
2. Kwa kuwa mwenye nguvu ametenda makuu. (Nalo jina lake ni takatifu) x2
Rehema zake hudumu kwa vizazi vyote (Kwao watu wote wanaomcha sana) x2
3. Amefanya makuu kwa mkono wake (Hutawanya mioyo ya wennye kiburi x2)
Wanyonge amewakweza wenye viti kashusha (Kashibisha wenye njaa matajiri kanyima) x2
4. Amemwangalia Israeli mwanae (Azikumbuka rehema zake nyingi, kama alivyoahidi baba zetu wakale (Baba Ibrahimu na uzao milele) x2
5. Atukuzwe Mungu Baba pia naye mwanae (Na Roho Mtakatifu leo hata milele) x2 Sifa kwa Utatu Mtakatifu( x3)

Comments