top of page

Maisha Yangu


1. Maisha yangu (yote) nakutolea (wewe) ee Mungu wangu, (Bwana) unipokee (Kwako)

Bwana maisha yangu yote nampa Bwana maisha yangu yote nampa Bwana nilivyo navyo vyote ni mali ya Bwana Bwana masiha yangu yote nampa Bwana.

2. Ujana wangu ( mimi) ulionipa (wewe) najitolea (kwako) kukuhudumu (wewe).

3. Uzee wangu (mimi) ulionipa (wewe) najitolea (kwako) kukuhudumu (wewe)

4. Nimeamua (mimi) na nyumba yangu (yote) kumtumikia (Mungu) milele yote.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page