top of page

Maji ya Kipekee

Updated: Apr 3, 2024


  1. Ndiyo maji meme kweli, toka kwa Bwana, tukanyunyiziweni tupate uzima.

  2. Maji yenye uvivio, wa kipekee, tukanyunyiziweni tupate uzima

  3. Maji yenye ubaridi wa kipekee, tukanyunyiziweni tupate uzima

  4. Ni maji yenye Baraka za kipekee, tukanyunyiziweni tupate uzima

  5. Maji yenye utakaso wa kipekee, tukanyunyiziweni tupate uzima

  6. Ni maji kweli ya Roho Mtakatifu, tukanyunyiziweni tupate uzima

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page