top of page

Malaika Gabrieli

Malaika Gabrieli alitumwa na Mungu Kwenda kmpaka mji wa Galilaya, jina lake Nazareti kwa mwanamwali bikira x3 Aliyekuwa ameposwa na Yusufu na Yusufu wa ukoo wa Daudi Jina lake bikira huyo alikuwa Mariamu Akaingia nyumbani mwake akasema, "Salamu Maria umejaa neema Salamu Maria, Bwana yu nawe Umebarikiwa kuliko wanawake wote Na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa"

Tazama utachukua mimba utazaa mwana Utamwita jina Yesu


Na huyo atakuwa mtukufu ataitwa mwana Wa yule aliye juuu

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page