Malaika wa Bwana
- Y. Mahundi
- Oct 21, 2023
- 1 min read
Malaika wa Bwana, uchukue sadaka, upeleke mbele ya uso wa Mungu x2 1. Ni mazao ya nchi yetu, na kazi yetu wanadamu Malaika
2. Mkate mazao ya shamba, divai tunda la mzabibu Malaika
3. Ufikishe sadaka hii, karibu na kiti cha enzi Malaika
4. Sadaka yetu ifanyike, mbele ya uso wa Muumba Malaika

Comments