Malaika wa Bwana
- Hymsco Library

- Oct 28, 2023
- 1 min read
Malaika wa Bwana (Mungu) uchukue sadaka, upeleke mbele ya uso wa Mungu x2
1. Ni mazao ya nchi yetu- na kazi ya wanadamu- (malaika)
2. Mkate mazao ya shamba- divai ni tunda la mzabibu. (malaika)
3. Ufikishe sadaka hii, karibu na kiti cha enzi. (malaika)
4. Sadaka yetu ifanyike, mbele ya uso wa Muumba. (malaika)

Comments