top of page

Mama Mwombezi

Updated: Dec 25, 2023

Bikira Maria mama wa Mungu, mama mwenye huruma mwingi wa neema, Utuombee kwa mwanao Yesu x2

  1. Sala zako ee mama zatutia nguvu kwenye safari hii yenye mateso, utushike mkono usituache, tembea nasi mama hadi mwisho

  2. Pendo ulilolionyesha kwa mwanao pale msalabani linavutia, kwalo pendo ulimwengu umeokoka kupitia kwako mama Maria

  3. Ujasiri wako ni wakipekee heshima yako wewe ni ya ukweli, ulikubali ombi la malaika kuchukua mimba bila kupanga

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page