Masiya Amezaliwa Wapi
- Anonymous
- Nov 11, 2023
- 1 min read
Masiya amezaliwa wapi - hao ni mamajuzi Kwani sisi tumetoka mbali - nyota tumeiona
Ni wewe mji wa Daudi ambao u mdogo sana Masiya amezaliwa kwako x2
Mama juzi walikwenda huko - huku wakifurahi Kurudi nyuma kwao ni mwiko - wamwone Masiya
Ewe Yusufu na Mariamu - kimbieni Misri Mfalme ataka mwaga damu - hiyo iwe ni siri

Comments