top of page

Matoleo ya Wana Wako

Updated: Mar 8, 2024

Hiki kidogo kikakupendeze,(T/ni) ni matoleo ya wana wako,(Bwana) x2

  1. Mkate divai madhabahuni, ni matoleo ya wana wako, malimbuko ya juhudi zetu, ni matoleo ya wana wako.

  2. Fedha tulizotolwa jasho, ni matoleo ya wana wako, ziwe ishara ya nia zetu, ni matoleo ya wana wako.

  3. Sala maombi shukrani zetu, ni matoleo ya wana wako na nyimbo zetu zipae kwako, ni matoleo ya wana wako.

  4. Tukutukuze katika yote, ni matoleo ya wana wako, Uhimidiwe milele yote, ni matoleo ya wana wako.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page