top of page

Mbio Mbio Bwana

Mbio mbio Bwana nipokee, nakuja kwako mbio mbio, Yesu mwema na mwenye upendo, nakuja kwako mbio mbio. Unipokee Bwana nanakimbilia kwako ee Bwana (mchaka mchaka nakuja kwako Bwana) x2


  1. Ninatazama huku na huku niende wapi pasipo shida?

  2. Magonjwa mengi na matatizo yamenisonga niende wapi?

  3. Nimetembea huku na huko nimekutana na mambo mengi.

  4. Nimegundua ya kwamba wewe ndiwe rafiki yangu wa kweli.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page