Mimi ni Njia
- Hymsco Library

- Nov 3, 2023
- 1 min read
Mimi ndimi njia ya uzima, yule anilaye amepona x2
Anilaye mimi, na kuinywa damu ana uzima wa milele
Utuweke nawe, mezani mbinguni karibu Bwana utulishe
Unawashibisha walio na njaa e Yesu mwema ‘tubariki

Comments