top of page

Mimi Nimewachagua

Mimi nimewachagua ninyi duniani, Wote:Mimi nimewachagua duniani x 2

Wote: ili mpate kwenda kuzaa matunda, na maunda yenu yaadumu, yaadamu aleluya x2

1. Yesu alisema / si nyinyi mlionichagua mimi / bali mimi niliyewachagua nyinyi

2. Nami nimewaweka kwenda kuzaa matunda / na matunda yenu ya dumu kwamba lolote muombalo kwa Baba / kwa jina langu

awapeni.

3. Iwapo ulimwengu utawachukia / mjue kwamba umenichukia mimi / kabla kuwachukia nyinyi.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page