top of page

Mji Bethlehemu

  1. Mjini Bethlehemu katika hori amezaliwa Mwana wa Mungu, amezaliwa Mwokozi wetu.

  2. Kazaliwa manyasini katika hori, Mwana wa Mungu Mesiya wetu, Mwokozi wetu, Mfalme wetu.

  3. Maria na Yusufu katika hori pamoja naye, Mwana wa Mungu, Kitoto Yesu, Mwokozi wetu.

  4. Na sisi hima twende katika hori tumwabudu Mwana wa Mungu, tumsujudie Mwokozi wetu.


Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page