top of page

Mji Bethlehemu

Kwa ajili yetu sisi Mtoto amezaliwa, tumepewa mtoto naye ni mtoto mwanaume.

1. Naye ataitwa jina mshauri wa ajabu – Mungu mwenye nguvu tena ni Baba wa milele.

2. Mfalme wa amani tena ni…

3. Maongeo ya enziye na ya amani yake hayatakuwa na mwisho milele na milele.

4. Na ufalme wake kweli hautakwisha kamwe, vizazi hata vizazi milele na milele.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page