top of page

Mkono wako

Updated: Dec 25, 2023


Mkono wako wa kuume amesimama Malkia amevaa dhahabu ya ofiri x2

  1. Binti za wafalme wamo mikononi mwa bibi wastahili mkono wako wa kuume amesimama malkia (amevaa dhahabu ya ofiri) x2

  2. Sikiliza vizuri utazame na utege sikio lako usisahau watu wako na nyumba ya baba yako (na yeye mfalme atakutamani) x2

  3. Atapeleka kwa mfalme na mavazi yaliyofumwa vizuri, wanawali wenzi-wake wanaofanya kwa mfalme watapelekwa kwake wakamwone, yumo ndani anafahari tupu.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page