top of page

Moyo Wangu Wamtukuza

(Moyo) moyo wangu wamtukuza Bwana(Roho) roho yangu inafurahi x2.

  1. Kwa kuwa amemwangalia, kwa huruma mtumishi wake, hivyo tangu sasa watu wote, wataniita mwenye heri.

  2. Kwa sababu mwenyezi Mungu, amenifanyia makuu jina lake ni takatifu.

  3. Huruma yake ni kwa wote, wote wale,wanaomcha, kizazi hata na kizazi.

  4. Huya tenda mambo makuu, kwa nguvu za mikono yake, mwenye kiburi hutawanya.

  5. Hushusha wote wenye vyeo, kutoka vitini vya enzi, nao wote wanyenyekevu, wote hao huwainua.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page