top of page

Mpende Jirani Yako

1. Mpende jirani yako kama nafsi yako, kama Bwana Yesu kweli alivyokupenda we, hii ndio amri kuu aliyotuachia, mpende jirani

yako kama nafsi yako

Ewe ndugu yangu – mpende Bwana Munguu, Sikieni amri mpendane. Nilikuwa mgonjwa na hukunitazama Mpende jirani yako kama nafsi yako x2

2. Nilikuwa na kiu nahukunipa maji, nilifungwa jela wala hukuja nitazama, hayo ni maneno yake Bwana Yesu asema

mpende jirani yako kama nafsi yako

3. Maneno hayo yote kumbuka ndugu yangu, ukiyafuata utabarikiwa, mpende Mungu wako tena mpende ndugu yako

mpende jirani yako kama nafsi yako

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page