top of page

Msifuni Mungu

Msifuni Mungu (aleluya) taifa la Mungu kwa wema wake.

  1. Mfanyieni Bwana shangwe dunia yote, mtumikieni Mungu kwa furaha.

  2. Njooni mbele zake Bwana kwa nyimbo nzuri, jueni ya kwamba Bwana ni Mungu wetu.

  3. Ingieni mlangoni kwa shukrani, mtukuzeni na lisifuni jina lake.

  4. Matendo yake makuu yanapendeza, mataifa yake yote ya furahia.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page