top of page

Msifuni Mungu Baba

(Msifuni)

Msifuni Mungu Baba yetu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristu, Mungu wa Miungu yote. X2

1. Amefanya mambo ya ajabu - Mungu wa miungu yote

Ni yeye Bwana wa mabwana wote

2. Natumsifu tumshangilieni

Kwani ni yeye Mungu wetu

3. Tumwimbie nyimbo na zaburi

Na vigelegele tumpigieni

4. Atukuzwe Mungu Baba yetu

Na Mwana na Roho Mtakatifu

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page