top of page

Msiwe na Wasiwasi

Msiwe na wasi wasi, mtakula nini, Bwana wa mbingu atawalisha

  1. Yeye ni chakula, chakula cha Mbingu

  2. Yeye ni kinywaji, kinywaji cha mbingu

  3. Yeye hutulisha na kutushibisha

  4. Yeye ni uzima, uzima milele

  5. Yeye ndiye njia, iliyo ya kweli

  6. Pia ndiye nuru, nuru ya dunia

  7. Yeye kiongozi, wakutuongoza

  8. Yeye yuko nasi, yu nasi daima.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page