top of page

Mtaenda Pote

Mtaenda pote kote kutangaza neno la Mungu x 2 Msije mkaogopa lolote, mimi nipo na mimi nita walinda x 2

  1. Niwaambialo ninyi katika giza lisemeni katika nuru enyi wanangu.

  2. Lolote msikialo katika siri lihubirini juu ya nyumba enyi wanangu.

  3. Nitajifanya Maria na uwezo lakini Roho ni mimi enyi wanangu.

  4. Pia mkiwaendeleza watu na mimi nitamwendelea Baba enyi wanangu.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page