Mtakatifu Bango
- Conrad Mghanga
- Oct 22, 2023
- 1 min read
Updated: Apr 2, 2024
Mtakatifu Bwana Mungu wa majeshi mbingu na dunia zimejaa utukufu wako x2 Hossana juu mbinguni hossana juu mbinguni hossana hossana hossana hossana juu mbunguni x2
Barikiwa yule, yule ajaye, yule ajaye ajaye kwa jina la Bwana x2

Comments