Mtakatifu- Bango
- Anonymous
- Oct 28, 2023
- 1 min read
Mtakatifu Bwana, Mungu wa majeshi, mbingu na dunia zimejaa utukufu wako x2
Hossana juu mbinguni, hosanna juu mbinguni, hosanna, hosanna, hosanna, hossana juu mbinguni x2
Mbarikiwa yeye, yule ajaye, yule ajaye, ajaye kwa jina la Bwana x2

Comments