Mtolee Mungu
- Conrad Mghanga
- Oct 22, 2023
- 1 min read
Updated: Dec 25, 2023
Sasa ndio wakati wa kutoa sadaka jitayarishe mkristu ukamtolee Bwana, kikubwa au kidogo kwake sio tatizo bora umtolee kwa moyo moyo safi
Uhai amekupa afya kakujalia nafasi yako sasa urudishe shukrani, kazini unaenda mshahara wapata sio bidii yako bali ni kwa neema
Mvua inyeshapo mimea husitawi mavuno unapata ni kazi yake Mungu, wafanya biashara faida unapata sio bidii yako bali ni kwa neema

Comments