top of page

Mungu Baba

Mungu Baba nimesikia habari zako, leo hii Baba nataka nione kwa macho

Mungu Baba nimesikia habari zako, leo hii Baba nataka nione kwa macho x2


Mimi nataka nione, kwa macho nione, kwa macho x2


Mungu Baba wenye njaa unawashibisha, leo hii Baba nataka nione kwa macho.

Mungu Baba wenye njaa unawashibisha, leo hii Baba nataka nione kwa macho x2.


Mungu Baba wagonjwa wewe unawaponya, leo hii Baba nataka nione kwa macho

Mungu Baba wagonjwa wewe unawaponya, leo hii Baba nataka nione kwa macho x2.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page