top of page

Mungu Baba nakuungamia

1. (Mungu Baba nakuungamia )nanyi pia ndugu zangu (Mungu Baba ninakuomba) nisamehe dhambi zangu.

Bwana unihurumie makosa yangu Mungu nimekuja kwako unisamehe x2

2. (Kutotimiza wajibu wangu) nimekosa ,nimekosa (Bikira Maria ninakuomba ) niombee kwa mwanao

3. Malaika na watakatifu , nanyi pia ndugu zangu, niombeeni kwa Mungu Baba ,nipate kusamehewa

4. Kwa mawazo na kwa maneno , pia kwa matendo yangu, Bikira Maria ninakuomba niombee kwa Mwanao.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page