top of page

Mungu Mmoja

Updated: Nov 14, 2023

Mungu mmoja katika nafsi tatu mamoja, ni fumbo kubwa x2 ((Kuwa Mungu) Mungu Baba (Mungu) Mungu mwana (Mungu) Roho Mtakatifu, Mungu mmoja) x2


Usifiwe Utatu Mtakatifu, Mungu Baba Mungu Mwana na Roho Mtakatifu, milele na milele


Usifiwe Mungu Baba yetu, Mungu Muumba mpaji umeziumba mbingu, nchi na vitu vyote


Usifiwe Mungu Mwana Mwokozi, Mungu kweli mtu kweli uliyetukomboa, kutoka utumwani


Usifiwe Roho Mtakatifu, mwalimu kiongozi mgavi wa vipaji, pia mfariji wetu

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page