Mungu ni Mmoja
- Gabriel Mkude
- Oct 19, 2023
- 1 min read
Amka asubuhi tembeeni mchana pia usiku mpumzike Fanyeni kazi zenu na pia mtambue Yupo anayewezesha hayo (kwa kweli) Ni mmoja tu, ni mmoja tu, ni mmoja yeye ni mmoja tu Ni Mungu Baba yetu anayewezesha yote.
Yeye anajua mapito yetu tulalapo hata tuamkapo, Sifa heshima tumpeni Mungu aliyetuumba
Yeye ndiye Mungu wa baba zetu katuwezesha kuyapata yote, Sifa heshima tumpeni Mungu aliyetuumba
Na tumtambue tumheshimu tupige magoti mbele za Bwana, Sifa heshima tumpeni Mungu aliyetuumba

Comments