top of page

Mungu ni Pendo

  1. Mungu ni pendo apenda watu mimi nimeonja upendo wake- Yeye ndiye mwenye baraka zote x2

Leo nimeona niende (mimi) nipeleke shukrani zangu, nikufiche jambo gani Baba wewe ni Mungu wangu x2.

  1. Mungu Baba alitupenda sana akatoa Mwana wake wa pekee- Yeye ndiye mwenye baraka zote x2

  2. Sasa twatoa shukrani zetu kwake Mungu Baba Muumba wetu – Asante Baba asante sana x2.

  3. Tulivyo navyo ni mali yako kwa unyenyekevu twakutolea – Asante Baba asante sana.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page