top of page

Mwanakondoo KANU

Mwanakondoo wa Mungu, Unaye ondoa dhambi za dunia

utuhurumie x2

Ee Mwana….Kondoo Ee Mwana wa Mungu utuhurumie x2

Mwanakondoo wa Mungu, Unaye ondoa dhambi za dunia

Utupe amani x2

Ee Mwanaa..Kondoo Ee Mwana wa Mungu utupe amani x2

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page