Naam Bwana
- Anonymous
- Oct 28, 2023
- 1 min read
Updated: Feb 7, 2024
Naam Bwana wa mavuno, naam Bwana wa mavuno, naitikia wito wako x 2
Mavuno ni mengi walakini / wavunaji ni wachache, Naam Bwana
Bwana wa mavuno muombeni / atawapa wavunaji, Naam Bwana
Baba kasikia ombi letu / wavunaji ametupa, Naam Bwana
Nimewapa bure hayo yote / nanyi pia mtoe bure, Naam Bwana

Comments