top of page

Naja Kwako Bwana

Naja kwako Bwana Naja kwako Bwana leo nipokee mtumishi wako

(Naja kukuabudu (Bwana) pia nikutuze kwa nyimbo mpya unipokee) x 2

1. Moyo wangu wamwadhimisha Bwana na Roho yangu inamfurahia Mungu Mwokozi wangu.

2. Hivi leo tumwimbie kwa shangwe kwa kuwa yeye ametutendea makuu Mwokozi wetu.

3. Matumaini yetu ni kwa Bwana, maombi yetu tumwelekeeni Mungu atapokea.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page