Nakuinulia Sala Yangu
- Deo Nkonko
- Oct 28, 2023
- 1 min read
Updated: Dec 25, 2023
Nakuinulia sala yangu, na sadaka yangu ikupendeze, (tena) viwe harufu nzuri kwako x2 (kama) kama ya melkisedeki.
1.Huko uliko Mungu sala yangu ikujie,iwe harufu nzuri kwako.
2.Huko uliko Mungu sadaka yangu ifike,ipendeze machoni pako.
3.Huko uliko Mungu nyoyo zetu zifike,zikueleke wewe.

Comments