top of page

Nakwenda kwa Baba

Sasa nakwenda ( kwa Baba) kuwaandalia mtakapo ishi nyote asema Bwana x2

  1. Basi enendeni ulimwenguni mwote, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi wangu

  2. Wa fundisheni kushika maagizo yote, niliyo wafundisheni yote wawe wanafunzi wangu

  3. Mkawabatize walioshika neno, kwa jina la Baba na la Mwana na Roho Mtakatifu

  4. Na mimi nitakuwa nanyi siku zote mpaka mwisho wa nyakati zote msiwe na mashaka yote

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page