Nalifurahi Waliponiambia
- F.A Nyundo
- Oct 22, 2023
- 1 min read
Nalifurahi waliponiambia, Tutaingia nyumbani mwa Bwana Miguu yetu imesimama, Ndani ya malango yako, ee Yerusalem Miguu yetu imesimama, Ndani ya malango yako, ee Yerusalem
Amani iwe ndani ya ngome zako, Na salama ndani ya nyumba yako
Ushuhuda kwa Waisraeli Walishukuru jina la Bwana
Wafanikiwe wote wakupendao Na ndugu zangu na rafiki zangu
Niseme sasa amani iwe nanyi Nyumbani mwenu muwe na baraka

Comments