top of page

Nalifurahi Waliponiambia

Updated: Nov 22, 2023

Nalifurahi waliponiambia njoo twende, njoo twende nyumbani mwa Bwana x2


Nalifurahi waliponiambia njoo twende nyumbani mwa Bwana


Sasa miguu yetu imesimama, ndani ya malango yako, ee Yerusalem


Ee Yerusalem uliyojengwa, kama miji iliyoshkamana pote


Huko ndiko walipopanda kabila kabila za Bwana


Kwa ajili ya ndugu na rafiki, mseme sasa amani ya Bwana iwe nawe


Kwa ajili ya nyumba ya Mungu wetu, nikutafutie mema mema ya Bwana.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page