top of page

Nalifurahi Waliponiambia

(Nalifurahi waliponiambia na twende nyumbani mwa Bwana x2) (miguu yetu) miguu yetu imesimama, imesimama miguu yetu imesimama ndani ya malango yako ee Yerusalemu x2

  1. Ee Yerusalemu, uliyejengwa imara kama mji ulio shikamana (huko ndiko walioko kabila za Bwana x2)

  2. Israeli walishukuru jina la Bwana, maana viliwekwa viti vya hukumu (viti vya enzi vya bari ya mbari ya Daudi x2)

  3. Amani na ikae ndani ya kuta zake kwa ajili ya ndugu na rafiki (na kwa ajili ya nyumba ya Bwana x2)

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page