Nalikuwa Nimelala
- Fr. Kayeta
- Nov 3, 2023
- 1 min read
Nalikuwa nimelala, moyo wangu u macho, sikiliza, Yesu wangu, mpenzi wa moyo wangu
Siku zote nakungoja, we mwanangu, uje kwangu, usiogope kunijia, nitakupokea tu.
Nimemwaga damu yangu, Roho yangu, kuokoa, damu hiyo ipotee? We mwanangu rudi tu
Ni mapendo yangu kwako, kuokoa roho yako, we mwanagu usiogope, njoo utubu dhambi.
Ni tayari kukupokea, mpenzi wangu, rudi kwangu, furahi pamoja name, milele na milele.

Comments