Nani Afanya UpindeHymnsNov 6, 20231 min readRated NaN out of 5 stars.Nani afanya upinde,Namjua, namjuaMungu afanya upindiNampenda kwa hiyo.Mungu atuma upindeNi bora mweupe,Mungu atuma upindi,Kwamba yu karibu.
Comments