top of page

Nani Angesimama

1.Ee Bwana toka vilindini,nimekulilia, Bwana uisikie sauti yangu Bwana.


Kama wewe (kama) ungehesabu maovu,nani angesimama,kama wewe(kama wewe) ungehesabu maovu,nani (nani) angesimama.


2. Masikio yako nayaisikie,sauti ya dua zangu Bwana.


3. Lakini kwako kunamsamaha,ili wewe ili wewe uogopwe Bwana.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page