top of page

Nani Kama Mama

Updated: Dec 23, 2023


  1. Kwa ujasiri kwa sauti kubwa, nazitangaza sifa za mama (Maria) Nawauliza wakubwa wadogo, ni nani kama mama (Maria)

  2. Kwa sifo tele kwa shangwe nderemo, Tujitokeze mbele za mama (Maria) Tucheze ngoma tupige makofi, vigelegele heko kwa mama (Maria)

  3. Salamu Mama umebarikiwa, Na baraka kuliko wote (Maria) Mzao wako amebarikiwa, Yesu mwanao ni Mungu kweli (Maria)

  4. Tukimbilie ulinzi wa mama, Tufunuliwe siri za Mbingu (Maria) Tupate shibe tupate neema, Tuwe na heri hata milele (Maria)

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page