top of page

Ndimi Mtumishi Wako

Ndimi mtumishi wako, nitafurahi kwako Bwana (mimi) ndimi mtumishi wako nitafurahi kwako Bwana x2

  1. Nitajongea altare ya Mungu, Mungu wa raha ya roho yangu.

  2. Mezani pangu meza imepambwa, wanatazama adui zangu.

  3. Malishoni mwa majani mabichi, amenitunza nikiwa naye.

  4. Sifa ziende kwa Baba na Mwana na, na kwake Roho milele yote.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page