top of page

Ndimi Mtumishi Wako

Ndimi mtumishi wako, nitafurahi kwako Bwana (mimi), ndimi mtumishi wako

Nitafurahi kwako Bwana x2

  1. Nitajongea altare ya Mungu, Mungu waraha waroho yangu.

  2. Machoni pangu imepangwa wanatazama adui zangu.

  3. Malishoni mwa majani mabichi ananitunza nikiwa naye.

  4. Sifa ziende kwa Baba na Mwana na kwake Roho Mtakatifu.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page