top of page

Ndiwe Kuhani


Ndiwe kuhani hata milele (wewe) Ndiwe kuhani hata milele) x2 {Kwa mfano wake Melekizedeki (kweli) Kwa mfano wake Melekizedeki) x2

  1. Neno la Bwana kwa bwana wangu Uketi mkono wa kuume Mkono wake Mungu Mwenyezi

  2. Niwafanyapo adui zako Kuachilia miguu yako Watajikwaa na kuanguka

  3. Akainyoosha nyoka Sayuni Fimbo ya nguvu zako ee Bwana Kuishi kati ya adui zako

  4. Uzuri wa utakatifu Tokea tumbo la asubuhi Pokea umande wa ujana wako

  5. Bwana ameapa siku zote Wata hataghairi kabisa Ndiwe kuhani hata milele

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page